
Mjasiriamali Digital Podcast
Business
Podcast namba moja Tanzania kwa ajili ya kupata dondoo za uuzaji kwenye mitandao ya kijamii. Pata yaliyojiri kwenye ulimwengu wa biashara mtandaoni kupitia mahojiano anayofanya Amani Longishu na wataalamu wa kidigitali na wafanyabishara waliopambana kufika walipo sasa.
Episodes
#36: Vitu vya kuepuka ukiwa unachagua username ya INSTAGRAM
Katika episode hii ya 36 nimelezezea mambo ya kuepuka ukiwa unaandika username yako ya instagram, na nini cha kuzingatia.Sikiliza uelimik...PlayShare#35: Sababu 6 kwanini haupati FOLLOWERS wa maana INSTAGRAM
Katika episode hii nimezungumzia Sababu 6 kwanini haupati wafuasi wa maana Instagram Ukiwa unasikiliza chukua screenshoot na...PlayShare#34: Aina 5 ya maudhui ya kupost Instagram ili upate WATEJA
Katika episode hii nimezungumzia Aina 5 ya maudhui ya kupost Instagram ili upate wateja. Ambayo Ni: 1. Maudhui ya kuelimisha 2. Maudhui ya...PlayShare#33: Ufanye nini utokee kwenye EXPLORE page ya Instagram? | Mambo 5 ya kufanya
Katika episode hii nimezungumzia mambo 5 ya kufanya ili kutokea na kuonekana kwenye EXPLORE page kwenye mtandao wa Instagram Ambayo Ni: 1....PlayShare#33: Makosa 8 yanayo uwa mauzo yako Instagram
Sio kweli kwamba kuwa na ukurasa unaovutia na kupendeza, ndio tiketi ya wewe kupata mauzo kila wakati. Kuna watu wanauza zaidi yako na kuras...PlayShare