
Episode Notes
Kwenye episode hii nimezungumzia njia za kujua maaumivu ya mteja wako Instagram, Sikiliza na uchukue dondoo hii uifanyie kazi kwenye biashara yako!!
Ukiwa unasikiliza podcast hii chukua screenshoot na post kwenye instastory yako kisha unitag "mjasiriamalidigital" ili nijue wewe ni msikilizaji
mzuri wa podcast hii
Niulize swali hapa https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital
Soma kwenye blog👇🏻 https://www.mjasiriamalidigital.com
Kutangaza biashara yako kwenye podcast hii Tuwasiliane: amani@mjasiriamalidigital.com
Host IG: https://www.instagram.com/amanilongishu
Mjasiriamali Digital Podcast Episode 38