
#39: Aina 5 Ya WATEJA kwenye Comments na DM yako Instagram
Mjasiriamali Digital Podcast
Hosted by
Released
Episode Notes
Kwenye episode hii nimezungumzia Aina 5 ya wateja wanaonapatikana kwenye Comments na DM yako Instagram kwa Wewe mfanyabiashara wa kitanzania
Ukiwa unasikiliza episode hii chukua screenshoot na post kwenye Instagram Story yako kisha unitag/mention "mjasiriamalidigital" ili nijue wewe ni msikilizaji mzuri wa podcast hii
Niufuatilie Instagram ⤵️ https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital
Tembelea blog yangu👇🏻 https://www.mjasiriamalidigital.com
Kutangaza biashara yako kwenye podcast hii Tuwasiliane: amani@mjasiriamalidigital.com
My Instagram profile:
https://www.instagram.com/amanilongishu
Mjasiriamali Digital Podcast Episode 39