
Sasisho Za Siku
by
News
Je wewe ni shabiki wa trend za mastaa wa nje? Na kupata shida ya kupata connection, Kwasababu ya lugha inayotumika kukupiga chenga?
Tulia… Vian Valerian na Meshack Prosper wanakuletea suluhisho la tatizo lako!
Sasisho Za Siku…
Ni kipindi kifupi kinachokuletea stori zinazotrend za mastaa wa nje ya nchi, kwa lugha yako pendwa… Kiswahili!
Unakijua Kiswahili wewe?
Ungana nasi kwanzia jumatatu hadi ijumaa saa nne asubuhi, katika kurasa zetu za Instagram its_meck15 na vianvalerianofficial tukikuangushia zigo la trend story za maana.
Pia katika Spotify!
Episodes
Lil Nas X kama Voldemort, Megan Thee Stallion kama Cruella; Halloween 2021 | SASISHO ZA SIKU
Sasisho za tarehe 1 Novemba, kutoka kwa Mastaa mbalimbali nje ya nchi. [ HOSTED BY ] Meshack Prosper: Instagram @its_meck15 h...PlayShareStaa wa Tiktok Ali Abulaban Kumuua Mke Wake, Kourtney na Travis Kutarajia Mtoto | SASISHO ZA SIKU
Sasisho za tarehe 27 Oktoba, kutoka kwa Mastaa mbalimbali nje ya nchi. [ HOSTED BY ] Meshack Prosper: Instagram @its_meck15 h...PlayShareSNL Kutafuta Mbadala wa Ed Sheeran, KJ Apa Kunywa Maziwa ya Mkewe | SASISHO ZA SIKU
Sasisho za tarehe 26 Oktoba, kutoka kwa Mastaa mbalimbali nje ya nchi. [ HOSTED BY ] Meshack Prosper: Instagram @its_meck15 h...PlayShareEd Sheeran na Uviko-19, Drake Aonganisha Birthday Party na Halloween | SASISHO ZA SIKU
Sasisho za tarehe 25 Oktoba, kutoka kwa Mastaa mbalimbali nje ya nchi. [ HOSTED BY ] Meshack Prosper: In...PlayShare